Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Hivi sasa ni HALALI kusema, zaidi ya saa 50 zimepita na bado "1M Views hazijafika!"

Yaani Mvumo wa Radi umepiga rivasi kama risasi iliyomuua Akwelina!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibakuli day ndio chanzo cha views kutofika milioni
 
Fake views zimeondolewa ambazo zimetengenezwa na mtaalamu wa computer pale clouds fm kwa ushirikiano na watu wa south africa

Baada ya kubainika hilo YouTube wamepitish panga la kuondoa views za robot

Heheh kama nawaona vile, huyo IT wao hamna kitu kabisa[emoji23][emoji23] "YUTYUBU" hawataki ujinga.
 
Yeah ni kweli na kwa taarifa yenu Harmonize ana Masters Degree ya IT sasa huyu jamaa ndio master wa figisu zote zinazohusu views za Kiba.
Timu imekamilika... huku Mkata Umeme, kule Mmeza Views!!

WCB Mungu anawaona!
 
Nasikia siku mzima alishinda studio za Clouds... labda anatakiwa kurudi tena kuandaa Kiba Week!
Sasa alishinda siku nzima milion hajafika. Ikija kibakuli week ndio atapata views 100K.
Saiv wanalalamika views zinapungua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
King Kiba
upload_2018-5-13_18-14-12.png
 
Sasa alishinda siku nzima milion hajafika. Ikija kibakuli week ndio atapata views 100K.
Saiv wanalalamika views zinapungua [emoji23][emoji23][emoji23]
Nafikiri you tube hawahesabu views zinazorudiarudia toka device moja.
 
Mimi najua ndio iko hivyo. Sasa hawa team kibakuli wanarudia rudia kuangalia wakidhan zitaomgezeka.
Alikiba anatakiwa afanye kazi aache uzembe na kutegemea ugomvi kati yake na diamond.
Unaona kabisa mwenzake anafanya kazi.
Kafanya ft na wasanii wakubwa tu. Hiyo yote inamuongezea fan base.
Kiba yeye anakurupuka tu bila strategy. Huo ni utoto, kutegemea ugomvi haya mambo yalishapitwa na wakati.
Kiba yupo overrated sana.
 
Sasa alishinda siku nzima milion hajafika. Ikija kibakuli week ndio atapata views 100K.
Saiv wanalalamika views zinapungua [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nioneshe uzalendo... naenda kuiangalia manake title ya wimbo haikunipa kabisa mzuka!!
 
Alikiba anatakiwa afanye kazi aache uzembe na kutegemea ugomvi kati yake na diamond.
Unaona kabisa mwenzake anafanya kazi.
Kafanya ft na wasanii wakubwa tu. Hiyo yote inamuongezea fan base.
Kiba yeye anakurupuka tu bila strategy. Huo ni utoto, kutegemea ugomvi haya mambo yalishapitwa na wakati.
Kiba yupo overrated sana.
Jana views walikuwa 781 k now ukiangalia unakuta 741k unazungumjiaje hili suala kwa maoni yako?
 
Back
Top Bottom