Ndio hivyo. Yan hawafanyi shughuli nyingine wanaview tu. Kumbe inahesabiwa mara 1. Halafu baadae wanaishia kusema wanafanyiwa hujumaInawezekana wametengeneza team ya kuongeza view, sasa kila wanavyorudia kuview hamna mabadiliko ndio maana wanalalamika, mfano kama sijui nani anaangalia kwanini nilalamike?
Watoto vikojozi utawajua tuFake views zimeondolewa ambazo zimetengenezwa na mtaalamu wa computer pale clouds fm kwa ushirikiano na watu wa south africa
Baada ya kubainika hilo YouTube wamepitish panga la kuondoa views za robot
Jana views walikuwa 781k now 741 k unazungumjiaje hili suala kwa maoni yako?au umeandika kiushabiki hujaingia YoutubeKiba ile nyimbo tuseme ukweli tu, amekurupuka. Jamaa uwezo anao ila anafanya mambo kimazoea akitegemea media, alitakiwa ajenge fanbase kubwa na pia ajiandae kila mara akitoa nyimbo.
Mafanikio yanalala kwenye ubunifu si mazoea, kusema kweli toka atoe nyimbo ya Aje ngoma zilizofuata anaharibu. Anapanick.
Akataze kushindwanishwa na Diamond, si wa kiwango chake. Ndiyo maana jamaa kule akiachiwa jiwe likivuma unakuta anaingizwa upepo na presha juu, mashabiki na wapambe wanamchochea.
Unajua ushindani na aliyekupita, mwishowe unaharibu kila kitu.
Aepuke kushindanishwa na atulize kichwa chake, naamini jamaa uwezo bado anao. Asipelekeshwe na mashabiki.
Kubuma kwa viewers wasimtafute mchawi, kajiloga mwenyewe
Fake views za robot zimechinjwa zoooteJana views walikuwa 781k now 741 k unazungumjiaje hili suala kwa maoni yako?au umeandika kiushabiki hujaingia Youtube
Sababu kubwa ni Wimbo mbayaJana views walikuwa 781k now 741 k unazungumjiaje hili suala kwa maoni yako?au umeandika kiushabiki hujaingia Youtube
Akili zako zipo matakoniFake views za robot zimechinjwa zooote
Na aipokuwa makini anaweza kufungiwa. Aache mchezo wa kishamba.Fake views za robot zimechinjwa zooote
OkSababu kubwa ni Wimbo mbaya
Unatakaje
Acha kutukana watu kama hujui kaa kimya. Kama kuna robot views ni kawaida youtube kuziondoa. Kumbuka youtube wanatoa pesa zao. Na asipokuwa makini anaweza kuondolewa au kusimamishwa kwa muda ili ajifunze.Akili zako zipo matakoni
Apambane na hali yake tu...na safari hii hata wasanii wenzie wengi wamemute.Hawa wana tafuta kiki kumuhusisha Diamond naujinga wao hahaha wanataka views kwa kupakazia kuwa wana hujumiwa.... sasa views wataongezeka vipi ikiwa hakuna anaye angalia tena?
Huna akili wewe yaani hii ndo umeona point umeandika tatizo lako unaleta utimu wakati unajua ulichokiandika si cha kweli then unakuta mtu kama wewe unamchukia mtu fulani kisa ana maisha mazuri kukuzidi wewe ndo hapo naposhangaaga watu kama wewe unamchukia mtu ambaye hakujui na maendeleo kakupita stupidAcha kutukana watu kama hujui kaa kimya. Kama kuna robot views ni kawaida youtube kuziondoa. Kumbuka youtube wanatoa pesa zao. Na asipokuwa makini anaweza kuondolewa au kusimamishwa kwa muda ili ajifunze.
Toa ujinga wako hapa. Hii siyo FB. Hapa ni watu na akili zao timamu okay.Huna akili wewe yaani hii ndo umeona point umeandika tatizo lako unaleta utimu wakati unajua ulichokiandika si cha kweli then unakuta mtu kama wewe unamchukia mtu fulani kisa ana maisha mazuri kukuzidi wewe ndo hapo naposhangaaga watu kama wewe unamchukia mtu ambaye hakujui na maendeleo kakupita stupid
Siwezi bishana na mtu ambaye najua hana nyuma wala mbele na dizaini watu kama wewe unakuta upo upo mtu Mwenye life yake hawez mchukia mtu sababu Ana mambo yake ya kimaisha ila wewe ambaye huna maendeleo yoyote chuki lazima uwe nayoToa ujinga wako hapa. Hii siyo FB. Hapa ni watu na akili zao timamu okay.
Sina hakika kama ni mbaya sana au vp lakini umenishinda kuangalia mpaka mwisho... cjui alikuwa anajaribu kufanya nini sijui huyu mtu!!Kaangalie uniletee mrejesho. Pliz usisahau
Ni kawaida hiyo kwa Youtube!! Bots huwa zinatembelea hizi accounts regularly na kuondoa Views ambazo ni doubtful.Ila hapa kuna tatizo kubwa....haiwezekan leo saa 8 mchana views ziwe 780 na kitu then siku hiyohiyo juon ya saa 12 views zishuke hadi 750 na kitu???? Hapa kuna tatizo walah........View attachment 776358
Sallam ndo mbaya[emoji3] [emoji3] [emoji3]Diamond anahusika moja kwa moja.
[emoji23][emoji23][emoji23]nimeona wengi wakisema wameishia njiani. Jamaa kachemka kwakweli kama ndio ivyo. Bora awe anatoa nyimbo kila siku kuliko kukaa muda mrefu halafu unakuja toa yai viza kila mtu anakimbia.Sina hakika kama ni mbaya sana au vp lakini umenishinda kuangalia mpaka mwisho... cjui alikuwa anajaribu kufanya nini sijui huyu mtu!!