Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Fake views zimeondolewa ambazo zimetengenezwa na mtaalamu wa computer pale clouds fm kwa ushirikiano na watu wa south africa


Baada ya kubainika hilo YouTube wamepitish panga la kuondoa views za robot
Watoto vikojozi utawajua tu
 
Kiba ile nyimbo tuseme ukweli tu, amekurupuka. Jamaa uwezo anao ila anafanya mambo kimazoea akitegemea media, alitakiwa ajenge fanbase kubwa na pia ajiandae kila mara akitoa nyimbo.


Mafanikio yanalala kwenye ubunifu si mazoea, kusema kweli toka atoe nyimbo ya Aje ngoma zilizofuata anaharibu. Anapanick.

Akataze kushindwanishwa na Diamond, si wa kiwango chake. Ndiyo maana jamaa kule akiachiwa jiwe likivuma unakuta anaingizwa upepo na presha juu, mashabiki na wapambe wanamchochea.
Unajua ushindani na aliyekupita, mwishowe unaharibu kila kitu.

Aepuke kushindanishwa na atulize kichwa chake, naamini jamaa uwezo bado anao. Asipelekeshwe na mashabiki.

Kubuma kwa viewers wasimtafute mchawi, kajiloga mwenyewe
Jana views walikuwa 781k now 741 k unazungumjiaje hili suala kwa maoni yako?au umeandika kiushabiki hujaingia Youtube
 
Before
upload_2018-5-13_18-24-17.png


Now

upload_2018-5-13_18-29-25.png
 
Hawa wana tafuta kiki kumuhusisha Diamond naujinga wao hahaha wanataka views kwa kupakazia kuwa wana hujumiwa.... sasa views wataongezeka vipi ikiwa hakuna anaye angalia tena?
Apambane na hali yake tu...na safari hii hata wasanii wenzie wengi wamemute.
 
Acha kutukana watu kama hujui kaa kimya. Kama kuna robot views ni kawaida youtube kuziondoa. Kumbuka youtube wanatoa pesa zao. Na asipokuwa makini anaweza kuondolewa au kusimamishwa kwa muda ili ajifunze.
Huna akili wewe yaani hii ndo umeona point umeandika tatizo lako unaleta utimu wakati unajua ulichokiandika si cha kweli then unakuta mtu kama wewe unamchukia mtu fulani kisa ana maisha mazuri kukuzidi wewe ndo hapo naposhangaaga watu kama wewe unamchukia mtu ambaye hakujui na maendeleo kakupita stupid
 
Huna akili wewe yaani hii ndo umeona point umeandika tatizo lako unaleta utimu wakati unajua ulichokiandika si cha kweli then unakuta mtu kama wewe unamchukia mtu fulani kisa ana maisha mazuri kukuzidi wewe ndo hapo naposhangaaga watu kama wewe unamchukia mtu ambaye hakujui na maendeleo kakupita stupid
Toa ujinga wako hapa. Hii siyo FB. Hapa ni watu na akili zao timamu okay.
 
Toa ujinga wako hapa. Hii siyo FB. Hapa ni watu na akili zao timamu okay.
Siwezi bishana na mtu ambaye najua hana nyuma wala mbele na dizaini watu kama wewe unakuta upo upo mtu Mwenye life yake hawez mchukia mtu sababu Ana mambo yake ya kimaisha ila wewe ambaye huna maendeleo yoyote chuki lazima uwe nayo
 
Kuimba hajui

Hafu mondi ajampa kiki

Na sikukuu yake ikaishia njiani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aende zake
 
Sina hakika kama ni mbaya sana au vp lakini umenishinda kuangalia mpaka mwisho... cjui alikuwa anajaribu kufanya nini sijui huyu mtu!!
[emoji23][emoji23][emoji23]nimeona wengi wakisema wameishia njiani. Jamaa kachemka kwakweli kama ndio ivyo. Bora awe anatoa nyimbo kila siku kuliko kukaa muda mrefu halafu unakuja toa yai viza kila mtu anakimbia.
 
Team kiba na Team Diamond wana utoto mwingi sana.
 
Back
Top Bottom