Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Can we go against "human nature" hasa hasa hii kwa mwanaume?Umeoa au kuolewa,
umechumbia au kuchumbiwa,
una boyfriend au girl friend,
Je ni mwaminifu? Je hunjunji nje?
Mimi ni mwaminifu na ntakua mwaminifu siku zote labda.................
Mi ni mwaminifu sana pia. Ctarudi nyuma kwa kiapo na ahadi yanggu kwake. Hakuna mwanaume yeyote atakayenibadili kiapo changu.
Uaminifu ktk mahusiano unawezekana kama kila mtu ataamua kwa dhati toka moyoni,hamna cha nature wala nn!
ngoja uanze kutokewa na mijamaa
mpaka utaiachia mwaaaaaa
hapo ndipo utajua usemalo
Bujibuji je wewe ni mwaminifu????
katika swala la uaminifu tunahitaji maombi mengi zaidi, wanaume hawafai, jamani mm nimeshalizwa mpaka nimechoka, sijawahi kupata mwanaume mwaminifu, mpaka najiuliza tatizo ni nini? Mbona mm siwezi kuhangaika? Mbona mm siwezi kuchanganya wanaume wawiliwawili? Wanaume hamfai kabisa nawala sitamani kuwa na mwanaume tena.
Ndio, mimi ni mwaminifu

kimbweka si rahisi hivyo. Nimeshatokewa na watu kibao among them wapo lecturers wangu ambao nilikua watani disco. Lakini haikuwa hivyo maana huwa nawatolea nje kiustaarabu then uhusiano wa kawaida unaendelea.
Kingine ni kuwa huwa ni muwazi sana kumwambia mr hivyo nae ananipa ushauri. Kila kitu kinawezekana kama wote mkiongea na kuwa na sauti moja. Sisi tunafurahia uhusiano wetu na haitotokea ng'o nimvulie nguo mwanaume mwingine, namshukuru mungu mwanaume wangu amekamilika kila idara kuanzia uzuri wa sura,tabia,umbo,mambo kitandani ndo usiseme na uwezo wake wa kipesa si haba,sasa kuna sababu gani ya kuhangaika nje?