kimbweka si rahisi hivyo. Nimeshatokewa na watu kibao among them wapo lecturers wangu ambao nilikua watani disco. Lakini haikuwa hivyo maana huwa nawatolea nje kiustaarabu then uhusiano wa kawaida unaendelea.
Kingine ni kuwa huwa ni muwazi sana kumwambia mr hivyo nae ananipa ushauri. Kila kitu kinawezekana kama wote mkiongea na kuwa na sauti moja. Sisi tunafurahia uhusiano wetu na haitotokea ng'o nimvulie nguo mwanaume mwingine, namshukuru mungu mwanaume wangu amekamilika kila idara kuanzia uzuri wa sura,tabia,umbo,mambo kitandani ndo usiseme na uwezo wake wa kipesa si haba,sasa kuna sababu gani ya kuhangaika nje?