Je, Website za Serikali na mashirika ya umma hazifanyi kazi muda huu au ni kwangu tu? "This site can’t be reached"

Je, Website za Serikali na mashirika ya umma hazifanyi kazi muda huu au ni kwangu tu? "This site can’t be reached"

Insidious

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2020
Posts
654
Reaction score
895
Habari wana jukwaa,

Nimejaribu kuingia Website za serikali na za mashirika ya umma ila naona zote zinasema "This site can’t be reached". je kuna shida? na zote zinatumia server moja?

Nimejaribu web zifuatazo;
1. IKULU
2. EGA
3. PSRS
4. NSSF
5. WIZARA KADHAA

Jaribu na wewe mdau tujue.
 
Hata zile namba 0800 karibu zote hazifanyj kazi.
Na namba nyingi za TTCL zinaaeleza kabisa kuwa hazijalipiwa.
 
Nimeona hata, open university of Tanzania, nayo ipo offline.
 
Habari wana jukwaa,

Nimejaribu kuingia Website za serikali na za mashirika ya umma ila naona zote zinasema "This site can’t be reached". je kuna shida? na zote zinatumia server moja?

Nimejaribu web zifuatazo;
1. IKULU
2. EGA
3. PSRS
4. NSSF
5. WIZARA KADHAA

Jaribu na wewe mdau tujue.
Una MB?
Screenshot_20240605-224644.jpg
 
Habari wana jukwaa,

Nimejaribu kuingia Website za serikali na za mashirika ya umma ila naona zote zinasema "This site can’t be reached". je kuna shida? na zote zinatumia server moja?

Nimejaribu web zifuatazo;
1. IKULU
2. EGA
3. PSRS
4. NSSF
5. WIZARA KADHAA

Jaribu na wewe mdau tujue.
Jaribu ku clear chart history za chrome zima simu washa tena uwashe data
 
Habari wana jukwaa,

Nimejaribu kuingia Website za serikali na za mashirika ya umma ila naona zote zinasema "This site can’t be reached". je kuna shida? na zote zinatumia server moja?

Nimejaribu web zifuatazo;
1. IKULU
2. EGA
3. PSRS
4. NSSF
5. WIZARA KADHAA

Jaribu na wewe mdau tujue.
Huyu anachokisema nisahihi, many time server zao zinakuaga down sana na nahisi wanatumia shared hosting zile zenye multiple domain yaani unakuta hosting moja inauwezo wa kubeba domain hata 100,
Screenshot_20240605_232420_Chrome.jpg

huwa ni nzuri kwa ubahiri lakini nichangamoto kwakuwa server huwa zinavutana zile DNS (DomainNameServer).
Kwa mtu wa IT , Atakuwa kanielewa namaanisha nini.
 
Back
Top Bottom