Je wewe au rafiki yako u/aliwahi kufanikiwa kibiashara baada ya kumshirikisha mganga?

Je wewe au rafiki yako u/aliwahi kufanikiwa kibiashara baada ya kumshirikisha mganga?

Hawa waganga wanaolalia ngozi ndo wakupe ww utajiri? Unadhani kuna mtu hapendi fedha au anapenda kuishi mazingira magumu tu? Afu hata ukipata utajiri wao waga ni wa muda tu lazima cha moto 🔥 ukione.. You must regret it and pay the debt in pain and blood.

Utajiri upo kwa Mungu sema mpaka ukafikie neema zake mpaka usote kweli kweli ila kuna machaguo yake Mungu miongoni mwetu wao ni ganda la ndizi tu kwenye haya maisha kila jambo wanalofanya la mafanikio basi linaenda kwenye mstari bila kutumia nguvu wala kupoteza muda mwingi...

Mungu anatupenda sote ila kuna anaowapenda zaidi/wateule wake hili hatuwezi kulizuia, hata ww kama baba ukiwa na watoto wengi lazima utakua na the top priority ya watoto wako watakao faidi peremende, mapenzi ya kua karibu nao na kila aina ya toleo la nguo ila japokua damu yako yote utaipenda ila si wote utawahudumia equally...
Unajua shetani hana urafiki na binadam hata mganga akitaka utajiri inambidi afuate masharti kama anayowapa wateja wake
 
Hawa waganga wanaolalia ngozi ndo wakupe ww utajiri? Unadhani kuna mtu hapendi fedha au anapenda kuishi mazingira magumu tu? Afu hata ukipata utajiri wao waga ni wa muda tu lazima cha moto [emoji91] ukione.. You must regret it and pay the debt in pain and blood.

Utajiri upo kwa Mungu sema mpaka ukafikie neema zake mpaka usote kweli kweli ila kuna machaguo yake Mungu miongoni mwetu wao ni ganda la ndizi tu kwenye haya maisha kila jambo wanalofanya la mafanikio basi linaenda kwenye mstari bila kutumia nguvu wala kupoteza muda mwingi...

Mungu anatupenda sote ila kuna anaowapenda zaidi/wateule wake hili hatuwezi kulizuia, hata ww kama baba ukiwa na watoto wengi lazima utakua na the top priority ya watoto wako watakao faidi peremende, mapenzi ya kua karibu nao na kila aina ya toleo la nguo ila japokua damu yako yote utaipenda ila si wote utawahudumia equally...
Masuala ya Imani hayana uhusiano sana na utajiri wa Mali Bali wa kiroho.
Waganga na wachawi Wana utajiri wa kiroho hawana utajiri wa Mali.
Katika ulimwengu wao wanaheshimiana kwa utajiri wao usioweza kuuelewa.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom