Je wewe au rafiki yako u/aliwahi kufanikiwa kibiashara baada ya kumshirikisha mganga?

Unajua shetani hana urafiki na binadam hata mganga akitaka utajiri inambidi afuate masharti kama anayowapa wateja wake
 
Masuala ya Imani hayana uhusiano sana na utajiri wa Mali Bali wa kiroho.
Waganga na wachawi Wana utajiri wa kiroho hawana utajiri wa Mali.
Katika ulimwengu wao wanaheshimiana kwa utajiri wao usioweza kuuelewa.


Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…