Mwisho ni tutakapolala. Yaani wewe mkono mmoja umenikumbatia nilale kumbe mwingine upo huku. Sasa nikukute tena.[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hivi kumbe ulisema mwisho wa kuwa Jf saa ngapi? Hata sikumbuki
Kubadili password zake za JF?![emoji125] [emoji125] [emoji125]Chura ndiyo nini? Wapo kwenye matindiga huko..ha ha ha
Baba P hana mbadala, hata nikimchoka namvumilia tuu na kumpa adhabu ndogo ndogo, kama kumnyima papuch, kumnunia, kubadili password zake za jf nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mwisho ni tutakapolala. Yaani wewe mkono mmoja umenikumbatia nilale kumbe mwingine upo huku. Sasa nikukute tena.
Ila I love you.. Baba watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si komando wala si jemedarii , kwenye mapenzi anatuliaa, shangaeni simba ni mkali lakini bado anazaa.[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Thanks mama p
Mubasharaaaaa.Mwisho ni tutakapolala. Yaani wewe mkono mmoja umenikumbatia nilale kumbe mwingine upo huku. Sasa nikukute tena.
Ila I love you.. Baba watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo ananielewa mbona.Kubadili password zake za JF?![emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji7] [emoji7] [emoji7][emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Thanks mama p
Upo ?Mubasharaaaaa.
Lazima uwe mpole kwa Mama mtoto...!Si komando wala si jemedarii , kwenye mapenzi anatuliaa, shangaeni simba ni mkali lakini bado anazaa.
Mimi naimba tuu
Kwa kweli maana ulivyonywea[emoji12][emoji12][emoji12].Lazima uwe mpole kwa Mama mtoto...!
Haha lazima unywee..... Si unajua mahaba niteketeze.Kwa kweli maana ulivyonywea[emoji12][emoji12][emoji12].
Ana mikwala heavy
Huyo ni yule rafki yako mwanamitindo?Haha ipogolo rafk angu nakupenda sana
Mambo vipi mchonganishiKubadili password zake za JF?![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Inna anakusalimia![emoji4][emoji4][emoji4]Mambo vipi mchonganishi
Yuko wapiInna anakusalimia![emoji4][emoji4][emoji4]