Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Jamani nawapenda wote jf ila kuna msichana mmoja nahisi kaumbwa ajili yangu.
Mpole, mcheshi, hajui kununa daah basi tuu!
Hata niwe nimechukia au huzuni baasi nabaki na furaha moyoni..
Sio mwingine ni Msichana wangu wa kwanza na wa pekee Jf,
Miss Jf na Wa dunia yangu ya upendo
Si mwingine ni joanah

I love you J, I need you J
Yamekuwa hayo jomonii[emoji6] [emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nawapenda wengi sana Ila kwakuwa sharti ni mmoja basi sinabudi kuipenda jamiiforums maana ndio chanzo cha hao niwapendao!
 
Baby Mondray
STUNTER na wifi yangu jje's
Bebe Behaviourist
Daby
The Boss
mshana jr
tamuuuuu
Uncle Hance Mtanashati
QUIGLEY
Wambeke
BIGstallion
Saint Ivuga
Azarel
Asprin
Compact
Miss Chagga
Miss Natafuta
husna muba
Antonio de Guzman
UWOGA=UMASKINI
Eddy Love
Shunie
Michaelray22
Numbisa
Paprika
Inna
Valentina
Chief Engineer
emmyta
Jovitha
Ambiere

Nawapenda wengi sana humu
Love u too...

Wenyeji wng wa humu ndani
 
Hivi kumbe Mimi nimelala napigwa na baridi wewe ulikuwa huku???
Sasa basi Leo hamna chai nenda kazini hivyo hivyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndo mbadala wa baba p my dear,siku ukichooshwa huko please close to me!......Am here waiting for you now and then japo sina uhakika kama chura ipo!![emoji30][emoji30]
 
Mimi ndo mbadala wa baba p my dear,siku ukichooshwa huko please close to me!......Am here waiting for you now and then japo sina uhakika kama chura ipo!![emoji30][emoji30]
Chura ndiyo nini? Wapo kwenye matindiga huko..ha ha ha
Baba P hana mbadala, hata nikimchoka namvumilia tuu na kumpa adhabu ndogo ndogo, kama kumnyima papuch, kumnunia, kubadili password zake za jf nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom