Haaa haaa.hata wewe hujataja mtu.Anza uoneYani sijatajwa.
Ngoja nijitoe JF.
Sent from my head using brain
Usijal mamy
Atasikia usijaliMsalimie sana mamy
Wapo wengi naogopa kukiuka masharti.
Hahahhahaha jamani basi muyamalizeNimemsamehe Wii ila hajanywa chai kaziraa.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] nitamfikishia salam zake
Mkuu jamaa nimeamua kumzingua.. naona hadi sasa hvi sijatajwa bado...Mbona hata mie sijatajwa,kiroho safi tu mzee
Ndio nimefunguliwa Leo shemela..
Nilivyoona Jina lako nimekumbuka mbaaaliii..
HahahaHahahahahahah lol! Wapi huko Sakayo? Mlima Kilimanjaro au jiji la Maraha? πππ
Nakupenda pia kipenzi changu..nakupenda sana ujueπ