Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Wengne tuna nuksi....au ndio umaarufu hatuna nin??[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Sooth mamaa kokote uliko jua kuwa na ku admire videadly,uko njema upstairs,.kama una binti mwenye haiba kama yako naomba nije kuoa tafadhali.
 
Bi.Faiza ila hapa kwenye ulienda shule somea ujinga sikubaliani na yeye.
 
Back
Top Bottom