.I bet it does.
Excuse me..!So what do you want to do, you want to get a hotel room or something?
I beg your pardon!Excuse me..!
Dont ruin it.I beg your pardon!
Yaani Huwa natamani Wanaume wengi humu wawe kama yeye kwanza mwelewa, anashauri, a napenda amani,pia hupenda watu waburudike( kwa maana sometimes kuattach Na nyimbo nzuri( japo siku hizi kama kaacha au kapunguza) But above all he is clever and Intelligent!Wapo wengi naogopa kukiuka masharti.
Ila huyo uliyemuandika hata nami namkubali pia.
Josze Unajua kanichekesha.Sasa si uanze wewe.Au Na wewe huna unayempenda.Wengne tuna nuksi....au ndio umaarufu hatuna nin??[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Jambazi anaumiza wenzake moyoo[emoji6] [emoji6]Mbona hata mie sijatajwa,kiroho safi tu mzee
Wewe mbona hujamtaja MTU??,au sijamuona?Mkuu jamaa nimeamua kumzingua.. naona hadi sasa hvi sijatajwa bado...
Haaaa haaaaa kweli.Yupo wapi siku hizi au Kile SiasaniBi.Faiza ila hapa kwenye ulienda shule somea ujinga sikubaliani na yeye.
natak nianze kutajwaJosze Unajua kanichekesha.Sasa si uanze wewe.Au Na wewe huna unayempenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daby ya ukweli hayooMimi hata sikupendi..... [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ana maana kawaidaMkuu jamaan si umetamani kuniona tu na kunipenda kawaida au ila me mke wa mtu jamaan
Aiseee umejipendaa mwenyewe vibaya hivyooNampenda sana GOOD NEIGHBOUR
Haaaa haaaaIla mi simindigi kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ujue.ooohoo