Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Wapo wengi naogopa kukiuka masharti.

Ila huyo uliyemuandika hata nami namkubali pia.
Yaani Huwa natamani Wanaume wengi humu wawe kama yeye kwanza mwelewa, anashauri, a napenda amani,pia hupenda watu waburudike( kwa maana sometimes kuattach Na nyimbo nzuri( japo siku hizi kama kaacha au kapunguza) But above all he is clever and Intelligent!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengne tuna nuksi....au ndio umaarufu hatuna nin??[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Josze Unajua kanichekesha.Sasa si uanze wewe.Au Na wewe huna unayempenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom