Asante kaka.Shukrani sana Madame B [emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji257]
Kabisaaaa
Asante kaka.
Nakuzimia sana...basi tu.
Nisaidie mkuu joanah aache kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Yaani Huwa natamani Wanaume wengi humu wawe kama yeye kwanza mwelewa, anashauri, a napenda amani,pia hupenda watu waburudike( kwa maana sometimes kuattach Na nyimbo nzuri( japo siku hizi kama kaacha au kapunguza) But above all he is clever and Intelligent!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jomoniiii Ina Maana Niyombare hajaonekana??Badili jina!![emoji3] [emoji3]Watu wengine hapa jf tunasindikiza tuu aisee!yani mpaka sasa sijatajwa.sijui tatizo nyota?
Yaani Huwa natamani Wanaume wengi humu wawe kama yeye kwanza mwelewa, anashauri, a napenda amani,pia hupenda watu waburudike( kwa maana sometimes kuattach Na nyimbo nzuri( japo siku hizi kama kaacha au kapunguza) But above all he is clever and Intelligent!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahhh ndio upoje huo