Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Watu wengine hapa jf tunasindikiza tuu aisee!yani mpaka sasa sijatajwa.sijui tatizo nyota?
 
Yaani Huwa natamani Wanaume wengi humu wawe kama yeye kwanza mwelewa, anashauri, a napenda amani,pia hupenda watu waburudike( kwa maana sometimes kuattach Na nyimbo nzuri( japo siku hizi kama kaacha au kapunguza) But above all he is clever and Intelligent!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli kabisa mumy. Ila kwa nyimbo tu nampa sifa aisee.

Hongera zako BAK. [emoji2]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
My appreciation Heloo haya nitaongeza frequency ya kuweka nyimbo

Back
Top Bottom