waoooo, naisubiri hiyo one day nikusikie.
hivi ulikuwa hunipendi kumbeeeee, you mean ndo unaanza? mimi penda wewe zamani sana lolNakupendaa..
mh?My Mama P......
hivi ulikuwa hunipendi kumbeeeee, you mean ndo unaanza? mimi penda wewe zamani sana lol
ooops acha utundu jamani, ile ya kuunganisha vikojoleo vilishawahiwa na unajua huwez unganisha vikojoleo na kila mutu ila upendo unaruhusiwa.Sasa hv nakupenda ule upendo mwingine wa kuunganisha sehem. Za siri..
M najpenda mwemyewNawaombeni Leo tufanye Karesearch kidogo lengo kuwatambua wenzetu wenye michango chanya Na kujenga
Kwa kutaja jina 1 tu.Kwa unayehisi anakugoga moyo wako kwa michango yake Na kukusaidia kifikra Na hata kukufumbua macho hata kuburudisha Na kuliwaza Na kuelimisha.
Atakayetajwa sana ndo mshindi naamini atajisikia vizuri Na kuzidi kutuelimisha Na kutuburudisha.
Please jina 1 tu.
mimi (wapo wengi but kwa kuwa ni sharti tumtaje 1.namtaja
BAK.
Sent using Jamii Forums mobile app
ooops acha utundu jamani, ile ya kuunganisha vikojoleo vilishawahiwa na unajua huwez unganisha vikojoleo na kila mutu ila upendo unaruhusiwa.
wewe ni shemela bhana
hahahahahha you just made my morning jamani, lol吞沒辦法我也會員林園
Aaaah sitaki bwanaa mm nimechoka kuita shem Niruhusu tuwe pamojaa Jjs
Nimesema hv..hahahahahha you just made my morning jamani, lol
how are you? hicho kichina umenitukana au umesemaje?
pls fafanua
acha utani, wewe ni mchina ama? hata siamini kama ndivyo. let me do investigation before i replyNimesema hv..
煊你是不是你的奎你會炙手可熱寀了 千歲數字淺薄膜我們家人類別忘了?
Nimekupenda kutoka moyoni Jjs Hold ma hand anad lets our Heart talk and our souls be together..
I love you, Do you?
acha utani, wewe ni mchina ama? hata siamini kama ndivyo. let me do investigation before i reply
teh teh
haaaa kweli wewe mkali, so ulichoandika na ulichotafsiri ni vitu viwil tofauti.Kilicho andikwa sicho kilicho tafsiriwa!
Kujua kichina sio lazima uwe mchina..I love you.
haaaa kweli wewe mkali, so ulichoandika na ulichotafsiri ni vitu viwil tofauti.
I salut you mkuu
haaaa kweli wewe mkali, so ulichoandika na ulichotafsiri ni vitu viwil tofauti.
I salut you mkuu
hahahahah lovely and thanksNakupend Jj's in Chinese..咯阿有 Jj's