Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Namtaja Papy Kabamba Tshishimbi[emoji122][emoji122]
 
Nampendaga sana naniliua.
Tatizo simuonagi hewani siku hizi

Sent by Bilionea ASIGWA mutu ya hela Mingi
 
Kuna watu humu ndani nawapendaga sana hasa ucheshi wao na namna ya upana wa akili zao na inaonekana hata kwenye brain wako smart sana

1)Evelyn Salt
2)Nahuja
3)Mulhat Mpunga.
4)Demba
5)Miss Chagga.
6)Mchumba

Wengine wa kiume, kwa kuwa kumsifia mwanaume mwenzako kibongo bongo ni mwiko, acha niishie hapo

Sent by Bilionea ASIGWA mutu ya hela Mingi
 
....washika mapembe katika ubora wao....🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…