Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Kweli mie nina nyota ya kutopendwa hata mmoja hakuna anaye nipenda
 
kuna mkono wa mtu hapa, inakuwaje sikuona huu uzi?
Nakupenda sana Joanah beibe na hili najua unalitambua.
sorry for late reply na ni matumaini yangu uko pouwa
Usijali mamaa...notifications zinakuwaga nyingi sana humu
 
Hahaha
Nigawe tuu mie
Ila Sakayo.Sema kwenye Uzi mmoja wa mdada umeaema unatongozwaa sana mtaani mpaka unakimbiaa
Ebu twambie mwenzetu ya kweli au.kunogesha kijiwe??
 
Ila Sakayo.Sema kwenye Uzi mmoja wa mdada umeaema unatongozwaa sana mtaani mpaka unakimbiaa
Ebu twambie mwenzetu ya kweli au.kunogesha kijiwe??
Hahaha
Aki wewe umenishinda tabia
 
Kwenye hii list ukimtoa Emmyta itapendeza saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…