Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Mimi kuna mtu nampenda humu ila kwa hoja zake na mada zake nimemfikilia awe kama rafiki wangu wa humu JF tu, kama akinipenda na yeye pia.

Cc: ......................................
Atakua mimi tu huyo[emoji85] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
 
Back
Top Bottom