Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

utaelewaje na msg haikuhusu?

poleee, mhusika ameelewa
Nilivyosoma chini ya SMS yako nimesema Jesus is my savior nikajua MTU wa Mungu una majibu ya kiungu
Na pia sikujua ka Ni muendelezo wa mazungumzo Na MTU ndoaana nikauliza kwa Maana Uzi nilianzisha Mimi nikajua umeandika tu
I'm sorry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usijali bhana lol
ila wewe mstarabu kabisaaaa, mwingine angekuja juu kama kifuu cha nazi

teh teh thanks sana mkuu
 
kwa hiyo sikuwa na majibu ya kiungu eeeh, nitake msamaha kabisa mkuu hapo umenionea
 
usijali bhana lol
ila wewe mstarabu kabisaaaa, mwingine angekuja juu kama kifuu cha nazi

teh teh thanks sana mkuu
Ndo nilivyo japo sometimes MTU akiniudhi sana Na Mimi kama binadamu hukasirika pia
But I'm like that
A lady with high brain[emoji14] [emoji14] [emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna members kadhaa wa hspa jukwaani waliojitambulisha kama ni Ke katika profiles zao, kama kweli ni Ke, basi sina budi kuficha hisia na kwamba, ninawatamani sana kimapenzi.

Ninatamani siku moja wanitunuku papuchi zao.

Member hao ni

1.Maserati
2.Emmyta.
3.Sakayo.

Je wewe mwanamume wa JF, ni mwanamke gan hapa JF unayetamani akutunuku?

Je wewe mwanamke wa JF, ni mwanamume gani hapa JF unatamani umtunuku papuchi yako?
 
Sipendi ugomvi na wewe ndugu, unajua ya kwamba:
Maserati - Mama Chacha
Emmyta - Dada yangu
Sakayo {Sakayonsa} - Hata mimi namtamani[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Baba chacha[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Watu wengine bana..wanatake for granted kwa vile humu hatujuani.hizi user na avatar zinawafanya watu wawe na confidence sana.ni Kama pombe flani ivi.
 
Back
Top Bottom