Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,806
Habari wadau,
Sijui hii ni kwangu tu, unakuta mdada/mkaka amejipodoa extremely mpaka anatisha! Mtu katumia mkorogo mpaka kawa ka chapati ya karoti, mbaya zaidi kapaka lip sticks, wanja na mitattoo mwilini yenye rangi kama kinyonga! Hapa kakuchanganyia na mikucha mireeefu imepakwa na rangi ka kiini cha yai la broiler! Anamalizia na kupulizia perfume yenye shombo ya samaki, mbona utakoma!Yaani mtu wa namna hii kwenye mambo ya kikubwa anatia kichefu chefu!utatamani ukamuoshe kwa kutumia maji ya betri...!
KITU NATURAL BANA...
Chungulia baadhi ya avatar ka ya Mrembo by nature, Demba, Munkari na wakaka wasiotia masherembwendo mengi kuharibu uhalisia wao. Oooh, hapa utavutiwa tu! Mtu anayehifadhi asili yake anaongeza mvuto ktk mapenzi, utatamani kila mara awe karibu yako. Epuka vipodozi ambavyo hata hujui side effects zake, keep yourself natural! Unavutia na unahamasisha! Mshauri mwenzio, muulize unamboa ukifanya nini kuuboresha mwili, achana na viboresha vinavyomboa, stay natural na utaenjoy the move!
Kila la kheri.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums