shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
afadhali ma dear najikuta mwenyewe humu nazungumzia pesa ... loh me mpapenzi na njaaa me siyawezi kabisa
Ni kweli mfukoni hakuna kitu kiuno hakizunguki kabisa
afadhali ma dear najikuta mwenyewe humu nazungumzia pesa ... loh me mpapenzi na njaaa me siyawezi kabisa
me nikiwa sina pesa mzuka unashuka kabisa.......... ila hao wanaojichubua ningekuwa mwanaume waliiii sitongozi kabisa
Awwwwwww! on point Jumong S. Natural is always the best.yaani hakunaga.
Ni kweli mfukoni hakuna kitu kiuno hakizunguki kabisa
Tutaiweka kwenye mchakato wa rasimu mpya ya katiba...
nahisi nitalal kifo cha mende ni funge na macho na ijigusi yani labda anibane pua
katiba ipi ya MMU au