Je, wewe ni kipi kinachoshusha hisia zako kwake? Wa hivi anatia kinyaa katika mapenzi

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,806
Habari wadau,

Sijui hii ni kwangu tu, unakuta mdada/mkaka amejipodoa extremely mpaka anatisha! Mtu katumia mkorogo mpaka kawa ka chapati ya karoti, mbaya zaidi kapaka lip sticks, wanja na mitattoo mwilini yenye rangi kama kinyonga! Hapa kakuchanganyia na mikucha mireeefu imepakwa na rangi ka kiini cha yai la broiler! Anamalizia na kupulizia perfume yenye shombo ya samaki, mbona utakoma!Yaani mtu wa namna hii kwenye mambo ya kikubwa anatia kichefu chefu!utatamani ukamuoshe kwa kutumia maji ya betri...!

KITU NATURAL BANA...
Chungulia baadhi ya avatar ka ya Mrembo by nature, Demba, Munkari na wakaka wasiotia masherembwendo mengi kuharibu uhalisia wao. Oooh, hapa utavutiwa tu! Mtu anayehifadhi asili yake anaongeza mvuto ktk mapenzi, utatamani kila mara awe karibu yako. Epuka vipodozi ambavyo hata hujui side effects zake, keep yourself natural! Unavutia na unahamasisha! Mshauri mwenzio, muulize unamboa ukifanya nini kuuboresha mwili, achana na viboresha vinavyomboa, stay natural na utaenjoy the move!
Kila la kheri.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wengine wamezidi lakini usishindwe nakupika ukasingizia moshi,kama kitu kwa mpenzi wako kinakukera unamwambia,kwamfano mimi mumewangu kama kuna perfume inanikera harufu yake namwambia lakini kwa uangalifu sana au
ikizidi namnunulia ile inayo niridhisha,jengine hata ukimuona ananuka jasho au cream alopaka hujaipenda siunatafuta njia au mwambie mwende mkaoge nyote mkitoka bafuni nyote harufu zenu natural... mna kula raha bila kukerana...
 
me nikiwa sina pesa mzuka unashuka kabisa.......... ila hao wanaojichubua ningekuwa mwanaume waliiii sitongozi kabisa
 
Kama kitu flani kinakukera ni bora ukatafuta namna ya kumwambia mpenzi wako bila kumwudhi.
 
Kitu natural kina raha yake. Lakini mtu anaweza akavutiwa na kimoja tu kwa me/ke na hivyo vingine akafanya kama havioni. Usicheze mhemuko wa penzi kabisa......
 
 

Attachments

  • Funny-Quotes-Being-tactful.jpg
    20.8 KB · Views: 144
Kwa siye wenye tabia ya kulamba kila pande icpokuw behind the scen b4, c 2tapata mafangas.always natural is beauty
 
kuna mwanaume wa hvyo kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…