sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
liberals vs conservatives
waliberal wanaamini katika uhuru wa mtu binafsi, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile anachoweza kufanya as long as hawadhuru watu wengine. walibaral wanaamini katika culture diversity, mjumuiko wa watu wa rangi tofauti tofauti na kaliba tofauti nk, ingawa wanaenda mbali zaidi hadi kusupport mambo kama lgbtq na abortion.
kwa upande wa conservative, wao waaamini katika kulinda mila na desturi. si watu wanaopenda sana mchanganyiko wa mila, na desturi za watu wengine, wanaamini matendo ya mwanadamu ni lazima yathibitiwe na si kila mwanadamu kua na uhuru wa kufanya jambo lolote hata kama halidhuru wengine.
Ingawa sikubaliani na mambo ya lgbtq+, kwasasa naunga mkono fikra za uliberali.