Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Kichwa cha thread mliberari na mhafidhina. Maelezo liberals na conservatives. Ndio maana Faiza Foxy anawauliza kama mmeenda shulewaliberal wanaamini katika uhuru wa mtu binafsi, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile anachoweza kufanya as long as hawadhuru watu wengine. .
kwa upande wa conservative, wao waaamini katika kulinda mila na desturi. si watu wanaopenda sana mchanganyiko wa mila, na desturi za watu wengine, w