je, wewe ni Mliberali au Mhafidhina?

je, wewe ni Mliberali au Mhafidhina?

waliberal wanaamini katika uhuru wa mtu binafsi, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile anachoweza kufanya as long as hawadhuru watu wengine. .

kwa upande wa conservative, wao waaamini katika kulinda mila na desturi. si watu wanaopenda sana mchanganyiko wa mila, na desturi za watu wengine, w
Kichwa cha thread mliberari na mhafidhina. Maelezo liberals na conservatives. Ndio maana Faiza Foxy anawauliza kama mmeenda shule
 
Unasapoti lgbtq?
Uliberali sio kusapoti LGBTQ
Hayo mambo yalianza toka kipind cha sodoma na gomora,

Uliberali ni kuamin katika freedom, watu wajitume wafanye kazi wanavyotaka bila mipaka, usiweke mipaka mingi isiyokuwa na maana,

Btw, binadamu lazima at certain point afungwe break,
 
Back
Top Bottom