Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Umeanza na utangulizi mzuri, ulipofikia hatua ya kuingia ktk maada husika na kuanza kwa kutumia Bible kama authority nami niliishia hapo hapo kusoma.
 
Umeanza na utangulizi mzuri, ulipofikia hatua ya kuingia ktk maada husika na kuanza kwa kutumia Bible kama authority nami niliishia hapo hapo kusoma.
Kwann umeishia hapo baada ya kuona bible verses
 
Asante umenipa kutambuwa kwa nini na pita hapa napo pita.
 
Ahsante kwa mchango mulua. Je unachakuongeza kingine?
 
Lakini Ibrahimu na watakatifu wengine wengi tu walizaa nje ya ndoa
 
You are missing something.
Kuna watu kufiwa wenza wao na kuoa au kuolewa tena wakatokea wazaliwa wa kwanza kwa mzazi mmoja na siyo wa kwanza kwa mzazi mwingine.
 
Lakini Ibrahimu na watakatifu wengine wengi tu walizaa nje ya ndoa
Ni kweli,
Na wengine walioa mke zaidi ya mmoja.
Da'Vinci unasemaje?
Ni kweli kuna waliozaa nje ya ndoa wengine kuoa wake wengi.
Mfano Yakobo alikua na wake wawili ila mzaliwa wake wa kwanza ni Reuben. Hata ukioa wengi lazima awepo yuke wa kwanza kuzaliwa. Hata wakijifunguz siku moja yupo yule ataanz kutoka tumboni.
Nb. Reuben alipoteza haki na baraka za mwana wa kwanza zote zikaenda kwa Yuda, kama ilivyotokea kwa Esau na yakobo.
 
You are missing something.
Kuna watu kufiwa wenza wao na kuoa au kuolewa tena wakatokea wazaliwa wa kwanza kwa mzazi mmoja na siyo wa kwanza kwa mzazi mwingine.
Watoto hutoka kwanani? Baba right?
Basi natumaini yule aliyetoka viunoni mwa mwanaume kwa mara ya kwanza ndio hua mwana wa kwanza.
Haitojalisha mama alizaa mara ngapi nyuma
 
Watoto hutoka kwanani? Baba right?
Basi natumaini yule aliyetoka viunoni mwa mwanaume kwa mara ya kwanza ndio hua mwana wa kwanza.
Haitojalisha mama alizaa mara ngapi nyuma
Ni rahisi sana baba kupewa mtoto ambae hajatoka kiunoni mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…