Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Umejuaje kuwa mizimu ni roho chafu??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa somo [emoji1374]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Zaburi 40[emoji120]naipenda
Huu ni wimbo wa RC hua naupenda sana, nilikua nausikiliza ndio nikaandika maneno yake humu.
Zaburi 40:1-8
[1]Nalimngoja BWANA kwa saburi,
Akaniinamia akakisikia kilio changu.
[2]Akanipandisha toka shimo la uharibifu,
Toka udongo wa utelezi;
Akaisimamisha miguu yangu mwambani,
Akaziimarisha hatua zangu.
[3]Akatia wimbo mpya kinywani mwangu,
Ndio sifa zake Mungu wetu.
Wengi wataona na kuogopa,
Nao watamtumaini BWANA
[4]Heri aliyemfanya BWANA kuwa tumaini lake,
Wala hakuwaelekea wenye kiburi,
Wala hao wanaogeukia uongo.
[5]Ee BWANA, Mungu wangu, umefanya kwa wingi
Miujiza yako na mawazo yako kwetu;
Hakuna awezaye kufananishwa nawe;
Kama ningependa kuyatangaza na kuyahubiri,
Ni mengi sana hayahesabiki.
[6]Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo,
Masikio yangu umeyazibua,
Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.
[7]Ndipo niliposema, Tazama nimekuja,
(Katika gombo la chuo nimeandikiwa,)
[8]Kuyafanya mapenzi yako,
Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu;
Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
 
Ndugu hawaelewi,huwa naishia kuwaangalia tu sbb hawaelewi wamo gizani
 
Napenda sana pia ,solomoni mukubwa kauimba!
Ila jamani RC wana nyimbo nzuri basi tu
 
Napenda sana pia ,solomoni mukubwa kauimba!
Ila jamani RC wana nyimbo nzuri basi tu
Very nice song ningekua naweza ningekupandishia hapa! Ndo ivo sijui.
RC tuna nyimbo tamu sana, whenever I'm not in mood I just tune and listen them
 
hatima ya mafanikio ya mwanao kiuchum, kiroho au kiakili yapo mkononi mwako, mwambie mema sio kumwambia mwanao maneno yanayo mfanya ajione inferior, hana thamani matokeo yake hua ni mabaya sana. Hata Jesus watu walimbeza ila mwisho wa siku kabaki kua ndio binaadamu ambae historia yake haitafutika kwa aliyoyatenda. Usimdharau mtu wala kumkandamiza hatujui hatima zetu.


Mzazi ni Mungu anaweza kujenga au kubomoa chochote kwa mwanae...
 

Jitoe kwenye vifungo vya laana za mizimu
 
Hello Da'Vinci , naomba link ya threads zako za mwaka hu. Au nielekeze namna ya kuzipata.
Njia rahisi ningekuambia angalia kwenye profile yangu. Ila Kwakua topic zangu hua naziandika kwa mfumo wa mtirirko (Sequel) basi ngoja nikupangie kwa kukupatia nyuzi
____
Hii ni stand alone topic, haina mwendelezo

Huu ni mwendelezo wa topic inayohusu introverts

Hizi mada mbili ni mwendelezo wa mada iliyokua inahusu jinsi ya kujiponya kwa kutumia Roho yako. Hopefully uliisoma

Hii inahusu tu maswala ya Historical


Soma hizo kwanza ukimaliza usiache kuniambia nikupatie zingine. Ambapo hutaelewa au ukiwa na swali usisite kuuliza. Napenda kujibu maswali😍
 
Thank you Vers, 😍
 
Mtoto wa kwanza kwa baba au kwa mama? Unaweza ukawa mtoto wa kwanza kwa mama lakini baba yako anao watoto wakubwa zaidi yako upande wa mama mwingine. Huyu anasimama kwenye kundi lipi?…

Au kuna wengine walizaliwa wakakuta dada/kaka alishafariki na hawa wanaingia kwenye kundi la watoto wa kwanza?
 

Uzi mzuri, uzi unafundisha
 
Ndani ya mapendo ni furaha, ndani yake huja kilio. Ndani ya ukiwa ni mateso mwisho huja furaha mbinguni😞

Sina mamlaka ya pumzi yangu, ikiwezekana nichukue. Sio kwa mapenzi yangu mimi bali kwa mapenzi yako Mungu. Dunia hii kitu gani kwangu..!? Sioni kheri ni uchungu mtu. Nayatamani maisha ya mbingu, Niishi nawe Yesu wangu mwema😢😢
Thank you Vers, 😍

 
Zaburi 40[emoji120]naipenda
Shusha mwanga wako roho mtakatifu tuangaze, washa nyoyo zetu sisi wanawako wakosefu. Elimu, hekima akili nazo, nguvu zako utupe, jipa la shauri na uchaji.

Roho mtoa yote mapaji karibu kwetu, tutakase yote mabaya tuliyonayo. Tuongoze leo nakesho kwa nuru yako😢😢😢
 
Mzaliwa wa kwanza ,umenikumbusha kitabu cha mwalimu Mwakasege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…