Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Mtoto wa kwanza ni wa kumlinda Sana kiroho na kimwili akiyumba tu wafuatao uweza yumba pia. Yeye ni lango security wa familia kifungua familia.
 
Elimu kuhusu mzaliwa wa kwanza zimejaa tele youtube wewe ni kupakua tu
Nilitamani kuona hicho kitabu maana wengi husema niliandika kama mwakasege alivyoandika and trust me nimemfahamu mwakasege baada ya kuandika huu uzi na watu kumtaja
 
Nilitamani kuona hicho kitabu maana wengi husema niliandika kama mwakasege alivyoandika and trust me nimemfahamu mwakasege baada ya kuandika huu uzi na watu kumtaja
Check page yake au bookshop lazima vitakuwepo
 
Hivi mtoto wa kwanza kwa maana ipi? Kwa mama ama kwa baba?
unaweza ukawa wa kwanza kwa mama au kwa baba. Naomba ufafanuzi hapo mkuu
 
So right now umekua bwana mtumishi
🙏
Hapana, lakini nimefocus zaidi kwenye spiritual issues kuliko upande wowote right now. Bila kufanya hivyo hakuna jambo lolote litakalo sogea kwa upande wangu interms of physical stuffs.

If things exist, it means there is Creator/ Supernatural Power/ Ultimately Intelligence/ Father of Universe.
That is the reality Sir.
 
What happened to you Sir??
 
It's just a life temptations.
Everyone of us experience it, in different ways and angles .
I want to say that, "Temptations comes from our own desire that entice us and drag us away Sir.
Sorry for what happened to you, I'm glad if you still doing great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…