Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Nafikiri njiro!
Ngoja niulizie zaidi nitakupa info inbox!
Ndio elf 5 tu!

Sasa you tube pia utaongeza maarifa zaidi!amefundisha kwa kirefu zaidi humo 5 days!
Mi nili download!
Ndo nikajua kwann nilipitia nilikopita


JESUS IS LORD[emoji120]
Ok nipe info
naona kumbe bei so ghali kabisa
 
Ok nipe info
naona kumbe bei so ghali kabisa

Ofisi zake ziko njiro karibu na kituo cha redio ukiuliza ni rahisi kuonyeshwa jengo, pia pale Tasoet karibu na Tanesco opposite na barabara ya goliondoi. Ni somo amefundisha maeneo mengi na kwa nyakati tofauti so ukisearch tu utapata kitu pia.
 
Ofisi zake ziko njiro karibu na kituo cha redio ukiuliza ni rahisi kuonyeshwa jengo, pia pale Tasoet karibu na Tanesco opposite na barabara ya goliondoi. Ni somo amefundisha maeneo mengi na kwa nyakati tofauti so ukisearch tu utapata kitu pia.
Ahsante kwa info box nikipata muda nitafika huko siku moka nijipatie nakala yangu..
NATAMANI ONE DAY NIWEKE MAANDIKO YANGU KWENYE KITABU.. I'VE A LOT OF IDEAS
 
Super post mkuu
 
Nafikiri njiro!
Ngoja niulizie zaidi nitakupa info inbox!
Ndio elf 5 tu!

Sasa you tube pia utaongeza maarifa zaidi!amefundisha kwa kirefu zaidi humo 5 days!
Mi nili download!
Ndo nikajua kwann nilipitia nilikopita


JESUS IS LORD[emoji120]
Ahsante mkuu utanipatia info
 
Daa mate pole sana lakini inahuzunisha mno. Unahisi kwanini nimeweka avatar hiyo.?
Kwakweli kashaziponda ponda potential zangu zote nimebaki maiti inayotembea..
Anyway Mkuu hakuna magumu yasiyo na mwisho.
I will write something for you
When you write the so called something for brother, please do not hesitate to tag me. I will appreciate
 
Hili nilitaka kuuliza mwisho wa thread ila kabla sijafika mwisho wa thread nikakuta umelijibu.

Mara ya kwanza kukutana na mada kama hii nilikutana nayo juu juu tu. Nilijichunguza nikakuta nina sifa hizi 100% za mzaliwa wa kwanza. Na kabla ya hapo sikujua kua mimi sio mzaliwa wa kwanza. Mimi ni mzaliwa wa pili maziliwa wa kwanza alifariki akiwa mchanga kabisa na nililipata kwa wazazi wote.

Since then nimejichukulia kama mzaliwa wa kwanza na jamii inizungukayo inajua mimi ni mzaliwa wa kwanza. Japo nipo na total spiritual attack(100% SURE).
 
Kama mama alishatoa mimba kadhaa baadae akaamua kuzaa Yule mtoto aliezaliwa atakua mzaliwa wa kwanza au wakwanza watakua wale waliofupishwa uhai wao kabla ya kuliona jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…