Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Wazaliwa wa kwanza wana kazi ya ziada, Mungu awasaidie
 
Kama mama alishatoa mimba kadhaa baadae akaamua kuzaa Yule mtoto aliezaliwa atakua mzaliwa wa kwanza au wakwanza watakua wale waliofupishwa uhai wao kabla ya kuliona jua.
client3 jibu hili swali
 
.nimejaribu kusoma na kutilia mkazo anamaanisha nini nikashindwa kuelewa nikaacha na hata kuendelea kusoma
 
Hapa kunadohovyupo Shure kaniomba 10000
Mdogo wangu wakike nae nlimuahidi 20 mshahara ukitoka,,,,,,
Yaani Hera Sina ,huko iliko ishakatwa duh!
 
Somo zuri Sana Hili. Niongezee kakipande kidogo, siyo kwa familia ya Mzee Joseph pekee ndiko Yesu alikuwa mzaliwa wa kwanza, Bali hata katika uumbaji wa Mungu Yesu ndiye Mzaliwa wa kwanza akiwa mtoto pekee wa Mungu.( Wakati vyote havijaumbwa alizaliwa).

Ubarikiwe Da Vinci
 
Hapa kunadohovyupo Shure kaniomba 10000
Mdogo wangu wakike nae nlimuahidi 20 mshahara ukitoka,,,,,,
Yaani Hera Sina ,huko iliko ishakatwa duh!
Ndio uanaume huo. Carrying your duties
wewe ni mzazi wao na mlezi usiwachoke ni jukumu lako
 
Hapa kunadohovyupo Shure kaniomba 10000
Mdogo wangu wakike nae nlimuahidi 20 mshahara ukitoka,,,,,,
Yaani Hera Sina ,huko iliko ishakatwa duh!
Pole sana mkuu usichoke, majukumu Sahiv ni mengi na makubwa kuliko hata kinachoingia,.
Jipe moyo yataisha tu
 
Mzaliwa wa Kwaza mara nyingi akipata familia ya mke na watoto husau kabisa wadogo zake na hata wazazi.
Mara nyingi inatokea hata kuwachukia wale wanaofanikiwa kuliko yeye na kuwadharau wale mafukara.
 
Pole sana mkuu usichoke, majukumu Sahiv ni mengi na makubwa kuliko hata kinachoingia,.
Jipe moyo yataisha tu
Poleni sana na hongereni mnakweza kubeba majukumu kama mzaliwa wa kwanza
 
Sikia dada angu , hayo mafundisho ya mwakasege nayajua na nilikuwa huko kabla sijaujua ukweli na nashindwa kukuelezea ila unapomuamini Yesu, unafanywa kiumbe kipya, kiroho haui yule wa zamani tena, unakaliwa na roho mtakatifu, na Yesu ndio mzaliwa wa kwanza kwa viumbe vipya vyote, ww tena sio wa kimwili ni wa kiroho ila kama huna maarifa ndo utaenenda kimwili. Ukipata muda ingia youtube msikilize mwalimu huruma gadi au pastor ceaser masisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…