Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Kwa hiyo mwisho wa siku huwa anavaa dela au mini skirtMm hapo hua ugomvi.na mke.wangu.yy
Akinichagulia huwa hakosei.kimbembe mm yeye anashape kama pipa.na tumbo kubwa ni mnene kilo.around.tisini
Na.mbili.tako.hana hivyo mm humchagulia dela ili kuficha kasoro hizo.yeye hutaka suruali.na tshirt au kibode.sijui.ndo kitop mm.huwa.nazira.namwambia.sitoki na ww kwa staili.hiyo napenda uvae kiheshima.but me.napenda sana mdada akivaa min skirt.or skin trouser lakni ndo hivyo tena shemeji yenu.hivyo huwa.ananuna.njia nzima
DelaKwa hiyo mwisho wa siku huwa anavaa dela au mini skirt
Duu!!!! Sasa kwa nini ulimuoa wakati ana sura mbaya?? Au ni wife material?Ni.shida na ana sura.mbaya
Mimi nlishawahi kua na mwanaume alikua anapenda nivae gauni zile pana pana hivi au baibui yani nilivyokua navaa zile nafsi yake ilikua burudani..na kizuri ni kwamba alikua mnunuaji mzuri wa hayo mavazi aliyokua anataka nivae ila alikua anatwanga maji kwenye kinu sababu hata nivae nini mambo bado yanaonekana tu...
[emoji23][emoji23]Ukitaka wageuke kukutazama, we vaa reflector tu kama za TRAFIC POLICE, tena hawatoishia kugeuka tu bali watasimama kabisa
Duh [emoji23][emoji23]Huyo ndo mume mwema yani. Hapendi utongozwe hovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hunitakii mema shem