Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Kwa hiyo mwisho wa siku huwa anavaa dela au mini skirtMm hapo hua ugomvi.na mke.wangu.yy
Akinichagulia huwa hakosei.kimbembe mm yeye anashape kama pipa.na tumbo kubwa ni mnene kilo.around.tisini
Na.mbili.tako.hana hivyo mm humchagulia dela ili kuficha kasoro hizo.yeye hutaka suruali.na tshirt au kibode.sijui.ndo kitop mm.huwa.nazira.namwambia.sitoki na ww kwa staili.hiyo napenda uvae kiheshima.but me.napenda sana mdada akivaa min skirt.or skin trouser lakni ndo hivyo tena shemeji yenu.hivyo huwa.ananuna.njia nzima