Je, wewe unapangilia vipi chumba chako cha kulala?

1. Kitanda+ gadoro inch 8 au 10
2. Kiti cha watu wawili
3. TV isiwe chini ya 40 inch
4. Sound bar
5. Kafriji kadogo 100 Lita
6. TV isiwe ukutani kama baa tafuta show case
Haya ni mambo ya vijana miaka 20 mpaka 30 mimi kikongwe hayanifai kwa sasa
Gharama zake kwa kukadiridia kimoja kimoja
 
Kama ni bachelor, by law ni marufuku kuweka aina yeyote ya kikalio chumbani mbali ya kitanda.

Chumba chako kinapaswa kiwe na kitanda tu kama sehemu ya kukalia mgeni. Sofa weka sitting room.
"by law", which law in specific?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…