Je Yanga SC leo wamezindua Jezi au ‘ Reflectors ‘ za Mafundi Ujenzi, Wafanyakazi wa Bandari au Watoza Ushuru wa Kupaki Magari?

Napatwa na cheko ya kwikwi...
IMG-20190802-WA0003.jpeg
 
Jezi kama masai shuka halafu wanakuja kusifia uhanithi humu, kweli mikia wameishiwa
 
Kichaa si lazima atembee bila nguo na kuokota makopo. Hata ambaye mgumu kukubali lililo jema huwa ...............
 
Mlioziona Jezi mpya za Yanga SC walizozizindua leo pale Serena Hotel karibuni ili muweze kutupa utofauti wa hizo Jezi na zile ‘ Reflectors ‘ ambazo mara nyingi huwa tunaziona zikitumiwa mno na Mafundi Ujenzi, Wafanyakazi wa Bandari na wale Watoza Ushuru wa Kupakia ( Maegesho ) wa Magari wa NPS.

Ila kuna Timu moja ( nimeisahau Jina lake kwa bahati mbaya ila nikiikumbuka nitaitaja hapa ) ambayo imezindua Jezi zake jana tu na tayari hata ‘ Wataalam ‘ wa Masoko na Biashara wa Vilabu vikubwa duniani kama vya Liverpool, PSG na Barcelona wamezisifia mno kiasi kwamba sasa wapo mbioni kuomba Michezo ya Kirafiki na hiyo Klabu kwani wamesema inaendeshwa Kisomi sana.

IGA UFE THIS IS NEXT LEVEL
Mnahangaika sana
 
Mambo ya Yanga na Simba yanachekesha sn na kuhuzunisha pia. Simba wanasahau kuwa wao wamezindua vitambaa vya kupigia lamli chonganishi

Back
Top Bottom