Je, Yanga tuinusuru Simba isipotee kama miaka ya 80 au tukubali kuhamishia upinzani kwa Azam(mtoto wa miaka ya 2008)

Je, Yanga tuinusuru Simba isipotee kama miaka ya 80 au tukubali kuhamishia upinzani kwa Azam(mtoto wa miaka ya 2008)

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Wakuu hasa mashabiki wa Yanga the Galactic of jangwani hali ndio kama mnavyoiona hapo Msimbazi ambapo mawazo ya team ni kama yamefika mwisho na rasmi mtani wetu wa mda mrefu sana anatumbukia shimoni.

Kimsingi ni mdogo wetu wa kitambo
Sasa CPWA Issa kaitisha press mbele ya frame usiku kaanza kuongea hotuba ambayo binafsi kwa mara ya kwanza Ile ndio hotuba sijaelewa inahusu Nini kwa hali hii Simba msimu ujao unaelekea kuwa au nafasi ya 5 au Sita ambapo msimamo utakuwa

1.Yanga
2.Azam
3.Ihefu
4.Coastal
5/6 Simba na Namungo

Sasa je tuwanusuru kwa kuwafata pale jengoni kwao na kuwapa elimu namna ya kuendesha team au tuwaache wapotee na tumpokee Azam mtoto wa juzi kama mtani mpya (derby ya dar es salaam)!?

Nawasilisha
 
Kwa Sasa huyu ndie Ahmed Ally wa Mangungu
Screenshot_20240610-064444.jpg
 
Sasa umbumbumbu wao alioutabiri Rage unadhihirika sasa
 
Tutampa timu KADUGUDA aiendeshe alafu siku akiondolewa aanze kudai pesa za CHAPATI mk.!
 
Back
Top Bottom