simba ama nyau anaye jifananisha na simbaHabari za yanga ziishie facebook. Huku Jf tunajadili simba na taifa stars tu
kwani mechi inarudiwa maana kagera (kiboko ya nyau) alisha kalishwa kaitabaKabla ya yote nipeni matokeo ya yanga na kagera
Kufungwa kwa Taifa stars kwasababisha na michezaji ya yanga na lipulisimba ama nyau anaye jifananisha na simba
taifa stars ipi hii ya kupigwa kama kima kila ikitia mguu uwanjani.
hahahha! kipa shati lile, fowadi boko hahahaha alafu unawaza ushindi lazima ukapimwe tuKufungwa kwa Taifa stars kwasababisha na michezaji ya yanga na lipuli
Mkuu tuaipoijadili Yanga hakuna utamu kabisa. Na haya matokeo ndio kizungumkutiHabari za yanga ziishie facebook. Huku Jf tunajadili simba na taifa stars tu
hahahha! kipa shati lile, fowadi boko hahahaha alafu unawaza ushindi lazima ukapimwe tu
Baada kuwa wazalendo kwa Mbabane Swallows na mkaambulia patupu..Sasa mmehamia kwa Nkana FC. Na mtahama sana [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Nilisema mtakuja tu kuijadili Yanga SC ngoja Nkana FC wafanye yao kwanza.
.bize kusindikiza, kama mbao kakushinda huko kimataifa utaleta aibu ni suala la muda tuWe zimpompa habari za yanga rudisha facebook tupo busy na michuano ya kimataifa
Waliwahi kufanya jambo hilo, sikumbuki vizuri ni mwaka gani. Lakini nakumbuka captain wao alikuwa, RIP Isah Athuman (amiri jeshi). Walimaliza ligi bila kufungwaHabari za yanga ziishie facebook. Huku Jf tunajadili simba na taifa stars tu
Mkuu hata kuwafunga wale mliotangaza kwamba uzalendo haupo muda haukuwepo!!??.bize kusindikiza, kama mbao kakushinda huko kimataifa utaleta aibu ni suala la muda tu
Ahsante mkuu japo ungekumbuka mwaka ingependeze ili turejee kumbukumbuWaliwahi kufanya jambo hilo, sikumbuki vizuri ni mwaka gani. Lakini nakumbuka captain wao alikuwa, RIP Isah Athuman (amiri jeshi). Walimaliza ligi bila kufungwa
Kwanza kabisa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba sc. Sifurahii ushindi wanaopata Yanga lkn nawapongeza
Back to the topic
Sijawahi kusikia kwamba kuna Msimua walimaliza msimu bila kufungwa licha ya kuchukua kombe la ligi ya tz bara mara nyingi zaidi.
Swali ni je, wanaweza kuweka rekodi hiyo msimu huu wa 2018/2019.
Karibu kuchangia wkt tukiendelea kusubiri kadri ligi inavyosonga