Je, Yanga wataweka rekodi mpya msimu huu!!???

Je, Yanga wataweka rekodi mpya msimu huu!!???

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Kwanza kabisa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba sc. Sifurahii ushindi wanaopata Yanga lkn nawapongeza
Back to the topic
Sijawahi kusikia kwamba kuna Msimua walimaliza msimu bila kufungwa licha ya kuchukua kombe la ligi ya tz bara mara nyingi zaidi.
Swali ni je, wanaweza kuweka rekodi hiyo msimu huu wa 2018/2019.
Karibu kuchangia wkt tukiendelea kusubiri kadri ligi inavyosonga
 
Hii??
Screenshot_20181209-003921.jpeg
 
Nilisema mtakuja tu kuijadili Yanga SC ngoja Nkana FC wafanye yao kwanza.
Baada kuwa wazalendo kwa Mbabane Swallows na mkaambulia patupu..Sasa mmehamia kwa Nkana FC. Na mtahama sana [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

Ambianeni Simba SC, habari nyingine
 
Mpaka muda huu biashara wanashambuliwa sana
 
Hawa Biashara wanaume gani wa Mkoani wanakimbizwa hivi na wanaume wa Dar wala urojo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
.bize kusindikiza, kama mbao kakushinda huko kimataifa utaleta aibu ni suala la muda tu
Mkuu hata kuwafunga wale mliotangaza kwamba uzalendo haupo muda haukuwepo!!??
Tupongezeni basi tunapofanya vizuribona sie hatuna hiyana!!!??
 
Waliwahi kufanya jambo hilo, sikumbuki vizuri ni mwaka gani. Lakini nakumbuka captain wao alikuwa, RIP Isah Athuman (amiri jeshi). Walimaliza ligi bila kufungwa
Ahsante mkuu japo ungekumbuka mwaka ingependeze ili turejee kumbukumbu
 
Kwanza kabisa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba sc. Sifurahii ushindi wanaopata Yanga lkn nawapongeza
Back to the topic
Sijawahi kusikia kwamba kuna Msimua walimaliza msimu bila kufungwa licha ya kuchukua kombe la ligi ya tz bara mara nyingi zaidi.
Swali ni je, wanaweza kuweka rekodi hiyo msimu huu wa 2018/2019.
Karibu kuchangia wkt tukiendelea kusubiri kadri ligi inavyosonga

Walishawahi kumaliza msimu bila kufungwa, na si mara moja. Sikumbuki tu miaka ila ilikuwa in 1990's
 
Back
Top Bottom