Je, yawezekana Kardinali Pengo ametuonyesha "moshi mweupe" wa mrithi wa Rais Magufuli mwaka 2025?

Yeye pia ni mtanzania anahaki ya kutoa maoni na maoni yake ni yake binafsi si msimamo wa kanisa katoliki.
Alikuja kama askofu mkuu, angelikuja na mtandio yangelikuwa mawazo binafsi
 
Mwamba wa Pengo siyo? Ndiyo maana mapadri na maaskofu wanabikiri vitoto vidogo dunia nzima kama wanafanya mashindano
Hizo dhoruba Kanisa liliishazipitia. Akatoka Martine Luther. Akatoka King of England. Wakatoka wengine wengi tu. Lakini, Kanisa liliendelea na linaendelea kusimama jana, leo na kesho!
 
Ni hayo tu aliyosema? Au ulisikia peke yako mkuu Kihava?
Nakumbuka ilibidi Dr. Bashiru amwombee msamaha. Nakumbuka bashite alisema anamshangaa mchaga (Mengi) kutoa fedha kwa wengine.
 
Mbona wanawalaumu wengine kwa kutumia haki yao ya kuamua kujitoa kwenye uchaguzi?
Amewalaumu nani?
mkuu hebu tofautisha kati ya mtu na taasisi yeye katoa maoni kama yeye na wala hajasema msimamo wa kanisa katoliki ni huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…