Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,472
mkuu naomba uniunganishe namimi basi dahWatanzania tusipoteze lulu hii tuliopewa na Mwenyezi Mungu 2025 Mh. Raisi anafaa kuongezewa muda wa kuiongoza Tanzania kwa kwa awamu nyingine tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona yameisha ya kuandika huko Lumumba mpaka mnaleta utumboNi suala LA muda tu hayo yatatimia 2025 Magufuli atarudi kuwa Waziri mkuu maana Tanzania inamuhitaji sana
Na hiyo ndiyo iliyokuwa hoja yangu, siyo lazima wabadilishane na waziri mkuu, makamu ambaye hahitaki kuwa mbunge wanaweza kubadilishana na kumfanya Magu awe makamu bila kuutafuta ubunge.Hapana mkuu nenda kwenye Katiba yetu Waziri Mkuu ni lazima atokane na Wabunge wa kuchaguliwa na wapiga kura,makamu wa Rais ndio ni mgombea mwenza wa mgombea urais
Nimekuelewa kumbe badala ya Waziri mkuu awe makamu wa Rais kwa hilo inawezekana ni issue ya kumtaja tu kuwa mgombea mwenzaNa hiyo ndiyo iliyokuwa hoja yangu, siyo lazima wabadilishane na waziri mkuu, makamu ambaye hahitaki kuwa mbunge wanaweza kubadilishana na kumfanya Magu awe makamu bila kuutafuta ubunge.
Hata hivyo alishasema amechoka.
Hahaaa hahaaaaa hahaaaaa hahaaaaaaaaaaaa Moshi mweupeNaunga mkono hoja
PBaada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...www.jamiiforums.com