Je, Yericko Nyerere ni nabii? Mengi aliyotahadharisha ndo yanawakumba CHADEMA kwa sasa

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Hili jasusi la bamia ni nabii? Ninashangazwa karibu kila kitu alichotahadharisha kuhusu CHADEMA ndo kinatokea kwa wakati huu. CHADEMA wakampigie magoti ili awavushe. Jamaa ana kipawa kikubwa cha kiroho. Nitakumbushia machache aliyotahadharisha.

Yeriko alikitahadharisha chama chake cha zamani kuhusu kukabidhi chama kwa wanaharakati. Alionya ila hakusikilizwa. Leo hii mwanaharakati Mange anawatukana viongozi wa CHADEMA hadharani kwa kutosapoti maandamano haramu ya mwezi ujao. Mbele ya Mange hawa kina Heche ni takataka. Nimeona jitihada za CHADEMA kupitia Mnyika ikijiweka kando na maandamano haramu.

Yeriko pia alionya chama kuendeshwa kwa michango badala ya ruzuku. Wote ni mashahidi kuhusu vilio kutoka ufipani kuhusu pesa. Pumzi imekata mapema.

Ninawasihi CHADEMA kuunda timu ya wazee wenye busara kwenda huko Mbutu, Block E kuongea na jasusi la bamia ili kukinusuru chama. CHADEMA kwa sasa inamhitaji sana Yeriko kuliko Yeriko anavyoihitaji CHADEMA. Tafadhali mwamba Yeriko wavushe hawa nyumbu.
 
Of all peoples yerico nyerere 😂😂😂😂😂😂😂
 
Mashoga mnapeana promo
 
Shoga utoe ushauri kwa chadema hii ni ajabu
 
Lini chama kilikabidhiwa kwa wanaharakati?

Baada ya kushindwa uchaguzi na aliyekua anampigia debe ndio kageuka mshauri wa chama?
Kwa sasa kina NURUVAZI na Mange wanasikilizwa kuliko Heche. Huko Twitter wanaCHADEMA wanatukana viongozi wao kwa kutosapoti maandamano haramu.
 
Hili jasusi la bamia ni nabii? Ninashangazwa karibu kila kitu alichotahadharisha kuhusu CHADEMA ndo kinatokea kwa wakati huu. CHADEMA wakampigie magoti ili awavushe. Jamaa ana kipawa kikubwa cha kiroho. Nitakumbushia machache aliyotahadharisha.

Yeriko alikitahadharisha chama chake cha zamani kuhusu kukabidhi chama kwa wanaharakati. Alionya ila hakusikilizwa. Leo hii mwanaharakati Mange anawatukana viongozi wa CHADEMA hadharani kwa kutosapoti maandamano haramu ya mwezi ujao. Mbele ya Mange hawa kina Heche ni takataka. Nimeona jitihada za CHADEMA kupitia Mnyika ikijiweka kando na maandamano haramu.

Yeriko pia alionya chama kuendeshwa kwa michango badala ya ruzuku. Wote ni mashahidi kuhusu vilio kutoka ufipani kuhusu pesa. Pumzi imekata mapema.

Ninawasihi CHADEMA kuunda timu ya wazee wenye busara kwenda huko Mbutu, Block E kuongea na jasusi la bamia ili kukinusuru chama. CHADEMA kwa sasa inamhitaji sana Yeriko kuliko Yeriko anavyoihitaji CHADEMA. Tafadhali mwamba Yeriko wavushe hawa nyumbu.
Kwa sasa kina NURUVAZI na Mange wanasikilizwa kuliko Heche. Huko Twitter wanaCHADEMA wanatukana viongozi wao kwa kutosapoti maandamano haramu.
Naamini hata wewe hukijui ulichokiandika
 
Hili jasusi la bamia ni nabii? Ninashangazwa karibu kila kitu alichotahadharisha kuhusu CHADEMA ndo kinatokea kwa wakati huu. CHADEMA wakampigie magoti ili awavushe. Jamaa ana kipawa kikubwa cha kiroho. Nitakumbushia machache aliyotahadharisha.

Yeriko alikitahadharisha chama chake cha zamani kuhusu kukabidhi chama kwa wanaharakati. Alionya ila hakusikilizwa. Leo hii mwanaharakati Mange anawatukana viongozi wa CHADEMA hadharani kwa kutosapoti maandamano haramu ya mwezi ujao. Mbele ya Mange hawa kina Heche ni takataka. Nimeona jitihada za CHADEMA kupitia Mnyika ikijiweka kando na maandamano haramu.

Yeriko pia alionya chama kuendeshwa kwa michango badala ya ruzuku. Wote ni mashahidi kuhusu vilio kutoka ufipani kuhusu pesa. Pumzi imekata mapema.

Ninawasihi CHADEMA kuunda timu ya wazee wenye busara kwenda huko Mbutu, Block E kuongea na jasusi la bamia ili kukinusuru chama. CHADEMA kwa sasa inamhitaji sana Yeriko kuliko Yeriko anavyoihitaji CHADEMA. Tafadhali mwamba Yeriko wavushe hawa nyumbu.
Pilipili ziko shamba,huo muwasho unaupata Vipi?!!Komaa na chama chako!
 
Back
Top Bottom