Je, Yericko Nyerere ni nabii? Mengi aliyotahadharisha ndo yanawakumba CHADEMA kwa sasa

Kukaaa mbalii Chadema kwenye ujinga wa 7+7 ni wakupongezwa kingekuwa chama cha alakati kingeunga mkono ayo maandamano 👈

Chadema wamejifunza kupitia fujo za Mo29 pengine hawataki tn kuwaweka Watoto wa watu hatarini.

Hekima ushinda kifo!

Chadema kama wangekuwa na Moyo kama huu kabla ya mo29
tusingepoteza watoto wetu %100

Mbona D9 ilipita salama kabisa👈

Chadema watoe kauli
kupinga kabisa ayo Maandamano haramu

kutokutoa kauli bado yataesabiwa ni mzigo wenu✅️

Kwenye ili wakichukua hatua kupinga vifo vinavyozuilika Wanafaa kupongezwa👈
 
Mikutano yote ya Chadema haijawahi kumzungumzia Yeriko, ni mbu msumbufu tu hana madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…