LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Usikute kuna kilaza anadhani swali langu limeuliza " Je ndani ya Qur'aan kuna Aya inayosema Yesu ni Mungu? ". Hiyo sio mantiki yangu. Analogy au mfanano wa mantiki yangu ni kama ifuatavyo. πππ
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inamtambua Mwl. Julius Kambarage Nyerere kama Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Lakini ndani ya katiba ya Jamhuri hakuna kifungu chochote ambacho kimeandikwa " Nyerere ndio Rais wa Jamhuri ya Muungano " ( Hii inawahusu Marais wa awamu zote)
Back to the point. Ninapo jibu " NDIO" kwenye swali Je Yesu anaweza kuwa Mungu ndani ya Qur'aan au kwa mujibu wa Qur' aan nina base hoja yangu kwenye Mambo yafuatayoπππ
1. Sifa za Mungu alietajwa ndani ya Qur'aan.
2. Tabia za Mungu alietajwa ndani ya Qur'aan.
Je kwa sifa na tabia za Mungu kama zilivyo tajwa ndani ya Qur'aan , Mungu huyo anaweza kuingia kwenye tumbo la kiumbe wake mwenyewe akakaa humo kwa miezi Tisa akazaliwa , akanyonyeshwa akala akakua mtu mzima then mwisho wa siku viumbe wake mwenyewe wakamsulubu Hadi akafa kisha akafufuka?
The evidence suggests a very qualified Yes.
How???? ππππππ
1. Kwa mujibu wa Qur'aan, Mungu ana uwezo wa kufanya kitu chochote kile. Kwa mantiki hii Mungu huyo anaweza kuja duniani kama kiumbe chake akaishi kama kiumbe chake na akawa subject to the laws of forms ( The law of form suggests that a being will be subject to the laws of a form of which it assume. Kama kiumbe asie onekana aki assume umbo la nyau basi anakuwa subject to the laws of forms zinazo mguide nyau. Anaweza kupigwa risasi na akafa au anaweza kuliwa na mbwa etc.) Kwa kuwa Mungu anaweza kufanya Jambo lolote anaweza pia kuwa mahali pote at the same time so anaweza kuwa Mbinguni kama Mungu while at the same time akawa duniani kama Yesu
2. Hii ilipaswa kuwa namba moja nayo πππ
Waislamu wanapokataa UUNGU WA YESU huwa wanatoa hoja kwamba " IT IS ILLOGICAL KWA MUNGU MUWEZA YOTE KUJA DUNIANI KAMA MWANADAMU NA KUTESWA NA VIUMBE WAKE MWENYEWE "
Hapa ndio kwenye mechi inapochezwa, kwa nini???? πππ
Kwa sababu tabia kuu ya Mungu anae tajwa kwenye Qur'aan na Biblia ni kwamba " He is ILLOGICAL " . Biblia na Qur'aan zinamuonyesha Mungu kama entity mwenye tabia na maamuzi ambayo ni illogical. Waislamu na wakristu wanajua huu in unconscious level ingawa w anaweza wasi admit lakini ndani ya nafsi zao wanajua kwamba Mungu wa kwenye vitabu vyao ana tabia ya kufanya mambo illogically..
Mifano ππππ
Mifano ya ILLOGICAL ACTS OF GOD according to the Bible na Qur'aan ipo mingi sana Ila hapa ntataja michacheππππ
1. Kumuumba shetani : Bible na Qur'aan zinasema shetani ndio chanzo cha mambo yote maovu ya nayo tokea hapa duniani. Ye ye ndo anawafanya watu wafanye uovu.. Zinasema pia mwanzoni shetani alikuwa kiumbe. Cha Mungu ( kea waislamu) na Malaika Mkuu ( kwa wakristu) Ila baadae akaja kumuasi Mungu na alipo muasi Mungu ndo uovu ulaingia duniani.
Zinaendelea kusema Mungu anajua Mambo yaliyopo yaliyopita na yajayo. Na anatupenda sana wanadamu. Lakini alijua kabisa kwamba shetani atakuja kuasi na kusababisha mateso kwa viumbe wake lakini bado alimuumba... Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha kuwa ILLOGICAL..
Hivi kweli Mungu ambae ni ILLOGICAL kwa kiwango hicho hapo juu anashindwa vipi kweli kuwa ILLOGICAL kwa kiwango cha kuja duniani kama kiumbe wake mwenyewe na akauliwa na viumbe wake mwenyewe? Hakika hawezi shindwa.
2. Qur'aan inasema mwanadamu kabla hujaumbwa Mungu alishajua utaenda motoni au peponi. Lakini bado alikuumba huku akijua utaenda Jehanamu kuchomwa. And he loves you. Sasa huyu Mungu ambae ni illogical kiasi hiki anashindwa vipi kuwa illogical kiasi cha kuja duniani kama kiumbe wake mwenyewe?
Natoka sio tu kwenye familia Bali Hadi ukoo na kabila ambalo wote ni waislamu Ila niliachana na Mambo ya dini baada ya kukosa mahali ambapo mimi na mafundisho ya dini hizi tunasimama pamoja.
Nimerudi kwenye Uafrika wangu..
Viva Ancestral Veneration