Kalenda ya Kiyahudi ndio iliyotumika kwenye tafsiri za Biblia ...ukisoma humo utaikuta miezi hiyo.
Sisi tunatumia Gregorian calendar, hivyo ukihitaji majibu zaidi itabidi ufanye calculation/ulinganishe Gregorian calendar and Hebrew/Jews calendar.
Hata hivyo jambo la muhimu ni kwamba Yesu alizaliwa, yeye ndiye Mwokozi, ndiye Njia, Kweli na Uzima. Mtu hawezi kwenda mbinguni bila kumwamini yeye.
Yohana 3: 16
Yohana 14: 6
Matendo 4:12
Kwahiyo jambo la muhimu ni kumkimbilia Yesu, haya mambo ya kalenda hayana umuhimu sana