JE! YOSEPH MFANYAKAZI HAKUACHA UZAO?

JE! YOSEPH MFANYAKAZI HAKUACHA UZAO?

Augustine Genius

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
1,216
Reaction score
1,486
Wapendwa habarini za majukumu? Pia kwa ndugu zetu waislamu nipende kuwatakia maadhimisho mema ya Eid Mubarak.
Napenda nifahamishwe kwa wale wenye ufahamu kuhusu historia ya Yoseph mfanyakazi ama Baba mlezi wa bwana wetu Yesu Kristo kama tunavyoelezwa kwenye Biblia.
Kulingana na mafundisho ya Biblia tunaelezwa kwamba Yoseph mfanyajazi alimposa bint Bikira,lakini kabla hajamjua akagundua huyo bint (Bikira Maria) alikua mjamzito alioupata kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Baada ya hapo mpaka kuzaliwa kwa Bwana Yesu na mpaka kufa kwake hakuna maelezo yanayoelezea nini kiliendelea kwa Yoseph kama baada ya hapo alienda kuposa mke mwingine au laah?
Je kuna uzao wowote ulioachwa na huyu fundi seremala? Kama wapo ni kina nani hao?
Naomba hekima na busara ituongoze katika kujuzana katika hilo.
 
Wadogo zake Yesu walikua watoto wake mbona..

Mmojawapo alikua Yakobo


Galatians 1:19
19But other of the apostles saw I none, save James the Lord's brother.
Lakini sikumwona mtume mwingine, ila Yakobo, ndugu yake Bwana.
 
Back
Top Bottom