Je, Zanzibar ni Sauzi?

Binti yangu amefanya kazi kwenye hotel moja Zanzibar aliwahi kukosa huduma za hospitali Kwa siku tatu mfululizo kisa mtu wa bara mpaka bosi wake ambaye ni Mzanzibar alipoingilia kati,Kwa hiyo ubaguzi Zanzibar upo.

Mkuu huo si ubaguzi bali ni sheria na taratibu zilivyo.
 
Ni kweli kama ulivyosema, ila fanya utafiti wa jambo hili, Je lipo??!
Halafu uje utueleze kweli ama si kweli.

Mkuu tatizo maelezo hayajitoshelezi. labda tukuulize baadhi ya maswali ukitupa majibu tunaweza anza kuona mwanga
 
Nyie Vichogo wa Bara hivi tuwaeleze vipi kuwa hatutaki mazoea na ninyi?

Hata Dada zetu hatutaki muwaoe, Nyie hamuachi Ukafiri wa kula kitimoto
 
Hadithi ya kutunga
 
matatiizo mengine binaadamu huwa tunajitafutia, wewe ushaona kuwa Sheria za visiwani haziruhusu Mbara kumiliki ardhi , lakini bado unakuta mtu ananunua eneo na kujenga nyumba. Matatizo mengine ni ya kujitafutia. na wapo wengi sana waliofanya hivo.
Aliuziwaje kama haturuhusiwi? Huyu hajaeleza vizuri, mjomba wake alijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke. Hata kwa sheria za bara unatimuliwa
 
Mnasahau mlituulia wazee wetu kwa maelfu mwaka 1964 na mnaendelea kuuwa kila ufikapo uchaguzi kuhakikisha mnaendelea kututawala. Damu Za mliowauwa inaendelea kuwatesa mpaka hapo mtapoomba radhi na kutupa uhuru wetu, Hiyo ni karma inawatesa
 
Shauri yake. Kwanini akaoe Zanzibar ilhali warembo wako tele bara.
Unaoa mke hata kufuga kuku na kutunza bustani ya mchicha hawezi, acha hiyo hata kwenda sokoni hawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…