Maswali haya ni lazima yatakuja tu
lazima tujue mkuu, isijekuwa mapenzi yaliponoga bwana alimuandikia bibi nyumba halafu wanakuja kulialia huku baada ya kupigwa na kitu kizito.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali haya ni lazima yatakuja tu
Ni kweli kama ulivyosema, ila fanya utafiti wa jambo hili, Je lipo??!hiyo stori na ya upande mmoja.
Binti yangu amefanya kazi kwenye hotel moja Zanzibar aliwahi kukosa huduma za hospitali Kwa siku tatu mfululizo kisa mtu wa bara mpaka bosi wake ambaye ni Mzanzibar alipoingilia kati,Kwa hiyo ubaguzi Zanzibar upo.
Ni kweli kama ulivyosema, ila fanya utafiti wa jambo hili, Je lipo??!
Halafu uje utueleze kweli ama si kweli.
Changu ni changu, chako ni changu pia. We huna chako, walijua hilo?
Hadithi ya kutungaMwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu.
Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na akapata bahati ya kupata watoto wawili kwa sas wapo elimu ya sekondari.
Baada ya muda kutokana na visa vya mwanamke huyo mjomba alikuwa akimueleza kwamba ukiendelea na hivi visa, nitakuacha.
Lakini jibu la wanamke alikuwa anamwambia mjomba kwamba utaondoka wewe hapa.
Baada ya muda waliachana kweli.
Mchakato ukanzia hapa.
Yule mke wake akaanza kwenda katika Mahakama na kwa Kadhi na baadae sheria ikasema ikiwa wewe ni kutoka bara ukajenga kule basi hauna haki ya umiliki wa nyumba kwa kuwa umezaa nae. Je, hizi sheria ndivyo zilivyo au kuna magumashi yamefanyika?
Na kama ndivyo hivi, hii nchi inafanya mambo tofauti bara na visiwani.
Mjomba alisarenda na kwenda kuishi kwa rafiki zake baada ya kutolewa na serikali ya huko.😥😥😥😥😡😕
Kwa vile hakuna ushahidi, huenda ikawa ni ya kutunga kweli ili kuendeleza chuki baina ya pande huku dhidi ya hukuHadithi ya kutunga
Hujagundua tu kua hiyo ni story ya kutunga yenye madhumuni maalum ya kisiasa na kidini?Dini inaingiaje hapo?
Aliuziwaje kama haturuhusiwi? Huyu hajaeleza vizuri, mjomba wake alijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke. Hata kwa sheria za bara unatimuliwamatatiizo mengine binaadamu huwa tunajitafutia, wewe ushaona kuwa Sheria za visiwani haziruhusu Mbara kumiliki ardhi , lakini bado unakuta mtu ananunua eneo na kujenga nyumba. Matatizo mengine ni ya kujitafutia. na wapo wengi sana waliofanya hivo.
Sheria gani ya kipuuzi hiyo, siku 3 mtu anakosa huduma ya afya. 😳😳Mkuu huo si ubaguzi bali ni sheria na taratibu zilivyo.
Mnasahau mlituulia wazee wetu kwa maelfu mwaka 1964 na mnaendelea kuuwa kila ufikapo uchaguzi kuhakikisha mnaendelea kututawala. Damu Za mliowauwa inaendelea kuwatesa mpaka hapo mtapoomba radhi na kutupa uhuru wetu, Hiyo ni karma inawatesaSisi watu wa Bara wajinga sana,tantalila nyingi ila vitendo ziro,hawa jamaa wakija Bara hakuna kuwauzia ardhi ndio dawa yao,sasa tatizo linakuja kwa Waswahili,wao kuuza ardhi ni kama kuuza karanga tu. Tuwe na misimamo kama Wahaya,Wachaga na Wanyaki hawauzi ardhi hovyo kwa mgeni
Mlitutungia wenyewe baada kutuvamia 1964Sheria gani ya kipuuzi hiyo, siku 3 mtu anakosa huduma ya afya. 😳😳
Shauri yake. Kwanini akaoe Zanzibar ilhali warembo wako tele bara.Mwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu.
Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na akapata bahati ya kupata watoto wawili kwa sas wapo elimu ya sekondari.
Baada ya muda kutokana na visa vya mwanamke huyo mjomba alikuwa akimueleza kwamba ukiendelea na hivi visa, nitakuacha.
Lakini jibu la wanamke alikuwa anamwambia mjomba kwamba utaondoka wewe hapa.
Baada ya muda waliachana kweli.
Mchakato ukanzia hapa.
Yule mke wake akaanza kwenda katika Mahakama na kwa Kadhi na baadae sheria ikasema ikiwa wewe ni kutoka bara ukajenga kule basi hauna haki ya umiliki wa nyumba kwa kuwa umezaa nae. Je, hizi sheria ndivyo zilivyo au kuna magumashi yamefanyika?
Na kama ndivyo hivi, hii nchi inafanya mambo tofauti bara na visiwani.
Mjomba alisarenda na kwenda kuishi kwa rafiki zake baada ya kutolewa na serikali ya huko.😥😥😥😥😡😕
Kule hawaangalii vyeti au dokomenti, wanasikiliza tu huku wanaokula urojo.swali kwa mleta mada, JIna la Umiliki wa nyumba lilikuwa ni la nani?
Ningekuwa najua nisingeuliza mkuuHujagundua tu kua hiyo ni story ya kutunga yenye madhumuni maalum ya kisiasa na kidini?
Ni kweli kama ulivyosema, ila fanya utafiti wa jambo hili, Je lipo??!
Halafu uje utueleze kweli ama si kweli.
Ningekuwa najua nisingeuliza mkuu
Unataka tulete nakala za mahakama.Post haina evidence hii