Je, Zanzibar ni Sauzi?

Je, Zanzibar ni Sauzi?

Zanzibar wabongo wengi sn. Mahotelini asilimia zaidi ya 90 wafanyakazi ni from mainland. Mbali na kazi nyengine kama za majumbani, mafundi ushoni, wauza matunda na wauza maduka ya watalii stone Town. N.k
Watu tunaishi vizuri sana, ukiskiza story ya mtu mmoja au story za mitandaoni na ukija ukaiona Zanzibar yenyewe utashangaa ni vitu viwili tofauti.
Kuna watu wanapenda kueneza chuki sijui wanafaidika nini
Msiwe vichwa panzi...

Msiwe vichwa Panzi....

View: https://www.facebook.com/reel/518544180719945/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
 
Huyo jamaa mbona yupo sahihi, hapo hapana suala la ubaguzi wala ubaya bali ni suala la sheria. Tatizo kubwa watanzania wengi ueleo wao kuhusu muungano ni mdogo sana.
Hii video ni moja ya ushahidi ambao unahitajika kwa wale waliokuwa wanabisha kuhusu UZI husika.
Ndio maana imeletwa hii waone na watambue wasiojua yaliyopo zanzibar kisheria, kama uzi ulivyoandikwa. Sheria ilimpokonya nyumba mjomba.
 
mkuu wabara kisheria hawaruhusiwi kumiliki ardhi zenj, japo kuwa wapo wengi wanamiliki lakini ni kinyume na taratibu.
 
Back
Top Bottom