KimbakaeKO
Member
- Jun 23, 2024
- 39
- 45
- Thread starter
- #81
Uongo, tena chai mcchana jua kali
View: https://www.facebook.com/reel/518544180719945/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo, tena chai mcchana jua kali
Msiwe vichwa panzi...Zanzibar wabongo wengi sn. Mahotelini asilimia zaidi ya 90 wafanyakazi ni from mainland. Mbali na kazi nyengine kama za majumbani, mafundi ushoni, wauza matunda na wauza maduka ya watalii stone Town. N.k
Watu tunaishi vizuri sana, ukiskiza story ya mtu mmoja au story za mitandaoni na ukija ukaiona Zanzibar yenyewe utashangaa ni vitu viwili tofauti.
Kuna watu wanapenda kueneza chuki sijui wanafaidika nini
Msiwe vichwa Panzi....Zanzibar wabongo wengi sn. Mahotelini asilimia zaidi ya 90 wafanyakazi ni from mainland. Mbali na kazi nyengine kama za majumbani, mafundi ushoni, wauza matunda na wauza maduka ya watalii stone Town. N.k
Watu tunaishi vizuri sana, ukiskiza story ya mtu mmoja au story za mitandaoni na ukija ukaiona Zanzibar yenyewe utashangaa ni vitu viwili tofauti.
Kuna watu wanapenda kueneza chuki sijui wanafaidika nini
Dah Kaka umekwenda mbali watu ni kina naniSi mnawaita ndugu zenu wa damu wacha wawakomeshe,Wazanzibar siyo watu.
Tufanye utafiti kwa post hii, unadhani watu hawajui namna ya kuandika content inayojitosheleza
Mkuu tatizo maelezo hayajitoshelezi. labda tukuulize baadhi ya maswali ukitupa majibu tunaweza anza kuona mwanga
swali kwa mleta mada, JIna la Umiliki wa nyumba lilikuwa ni la nani?
Una ushahidi na hili...
Mkuu si kwa ubaya, nakuomba unithibitishie tafadhali.....
Nakuomba sana ndugu yangu
Hii video ni moja ya ushahidi ambao unahitajika kwa wale waliokuwa wanabisha kuhusu UZI husika.Huyo jamaa mbona yupo sahihi, hapo hapana suala la ubaguzi wala ubaya bali ni suala la sheria. Tatizo kubwa watanzania wengi ueleo wao kuhusu muungano ni mdogo sana.
Hii video ni moja ya ushahidi ambao unahitajika kwa wale waliokuwa wanabisha kuhusu UZI husika.
Ndio maana imeletwa hii waone na watambue wasiojua yaliyopo zanzibar kisheria, kama uzi ulivyoandikwa. Sheria ilimpokonya nyumba mjomba.